Skip to main content

MSLAC Inawaelimisha wananchi kuhusu haki zao za kikatiba na jinsi ya kuzidai, hivyo kuongeza uelewa wa sheria na kuwafanya wawe na uwezo wa kujitetea mbele ya sheria.