Kisa cha mgogoro mkubwa wa kifamilia unaomhusisha Salome Peter, ambapo mume wake na dada zake wanatajwa kushiriki katika hatua iliyosababisha yeye kufungwa.
Tunajadili:
Chanzo cha mgogoro huu na mtiririko wa matukio. Nafasi ya familia katika migogoro ya ndoa. Somo la kijamii na kifamilia tunaloweza kujifunza kupitia tukio hili.
👉 Jiunge nasi kwa mjadala wenye kuibua fikra na tafakuri juu ya namna familia zinavyoweza kujenga au kubomoa ndoa.
✨ Usisahau ku-subscribe, kulike na kushare ili upate taarifa zote mpya kila zinapotoka.