Tunahitaji kuikomboa jamii yetu dhidi ya uelewa mdogo wa sheria na kuhakikisha kila Mtanzania anapata msaada wa kisheria bure. Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ipo mstari wa mbele kukuhudumia! Ungana nasi katika safari hii ya kuhakikisha haki inapatikana kwa wote. Haki yako ni msingi wa maendeleo yetu sote!