Skip to main content

Afisa Dawati la Msaada wa Kisheria akipokea cheti kutoka kwa Mhe. Mkuu wa wilaya ya Itilima (Bi. AnnaJoram Gidarya)

Submitted by admin on 4 February 2025

Image

Kwa kutambua mchango wa Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (MSLAC)  katika juhudi za utoaji wa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi wa Halmashauri ya Itilima.