Skip to main content

Afisa dawati la Msaada wa Kisheria wakiongea na wanafunzi katika masuala ya tabia na mienendo mizuri wakiwa shule pamoja na nyumbani na kuwahamasisha katika kusoma Kwa bidii

Submitted by admin on 6 February 2025

Image

Pia imetolewa elimu ya msaada wa kisheria wa mama Samia katika masuala ya ukatili wa kijinsia, mirathi, haki za watoto na malezi ya watoto.

Wanafunzi walitoa shukrani