LEO TAREHE 6.2.2025
Katika Halmashauri ya wilaya ya Bahi imefanyika Hafla ya kukabidhiwa vyumba vya madarasa na utoaji tuzo kwa waandishi wa habari kwa mradi wa shule bora ambapo pia Maafisa Maendeleo kutoka Dawati la Msaada wa Sheria waliudhuria.
Mgeni rasmi ni Waziri TAMISEMI ndugu Mohamed Mchengerwa na mkuu wa mkoa wa Dodoma Rose Senyamule. Pia viongozi wa dini mbalimbali wamehudhuria, viongozi wa CCM, watumishi mbalimbali wa Halmashauri, wananchi, walimu, wanafunzi na kamati ya ulinzi na usalama BAHI
@samia_suluhu_hassan @damasndumbaro_official #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #matokeochanya #sisinitanzania #SSH