Leo, tarehe 30 Aprili 2025, ni siku muhimu katika historia ya maendeleo ya sekta ya sheria nchini Tanzania. Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria, amewasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma.
#katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya