Skip to main content

Dhamira ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria ni kuhakikisha kila Mtanzania anafikiwa na huduma za haki bila kujali umbali wa alipo

Submitted by admin on 10 February 2025

Kampeni hii inalenga kuondoa vikwazo vya kijiografia na kiuchumi kwa kupeleka msaada wa kisheria hadi vijijini na maeneo ya mbali. Kupitia juhudi za wahudumu wa msaada wa kisheria, mwanga wa haki unawafikia wote, huku ikiwahamasisha wananchi kuelewa haki zao, kutatua migogoro, na kushiriki katika mchakato wa kisheria kwa ufanisi. Hii ni safari ya haki kwa wote, bila upendeleo.

#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_mpango