Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Damas Ndumbaro akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama mapema leo Aprili 30, 2025 kabla ya kuwasilishwa kwa hotuba ya makadirio ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka 2025/2026
#katibanasheria #MSLAC #SSH #kaziiendelee #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #matokeochanya