Skip to main content

DR. NDUMBARO AAGIZA WITO KWA MNUNUZI WA ARDHI BILA RIDHAA YA MMILIKI.

Submitted by admin on 5 March 2025

Waziri wa Katiba na Sheria, Dr. Damas Ndumbaro, aagiza wasaidizi wa Mkuu wa Wilaya kuandaa wito kwa mtu aliyenunua ardhi bila ridhaa ya mmiliki halali. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kusimamia haki za wananchi katika umiliki wa ardhi na kuhakikisha sheria zinafuatwa. Tazama hatua zinazochukuliwa ili kurejesha haki kwa mmiliki halali!  

#HakiYaArdhi #DamasNdumbaro #SerikaliYaAwamuYaSita #MSLAC