Shule hio ipo kata ya hale,halmashauri ya wilaya ya korogwe Mkoa wa Tanga. Jumla ya wanafunzi 1,068(596 wavulana na 472 wasichana) kutoka kidato cha l hadi cha IV wamepatiwa elimu hiyo.
#kazinaututunasongambele #sisinitanzania #matokeochanya #katibanasheria #nchiyangukwanza #kaziiendelee #SSH #MSLAC