Skip to main content

Elimu ya msaada wa kisheria kuhusu maswala ya ukatili wa kijinsia,mirathi na elimu juu ya upatikanaji na umiliki wa ardhi imetolewa kwa wananchi wa kijiji cha ndaleta kata ya njoro Halmashauri ya wilaya ya kiteto