Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amewataka wananchi wa mkoa huo kuhakikisha wanatumia kikamilifu fursa ya msaada wa kisheria unaotolewa kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC). Akizungumza Machi 3, 2025, Makonda ameonya kuwa hakuna sababu ya mwananchi kubaki na changamoto za kisheria bila kuzitatua, kwani mawakili na wataalamu wa sheria wanapatikana bure kupitia kampeni hiyo.



.jpeg)

