Jiunge nasi katika kuelimisha jamii, kuhamasisha matumizi ya Dawati la Jinsia na Watoto, na kupaza sauti kwa ajili ya haki, usalama na ustawi wa watoto wote.
✅ Elimu ya Haki za Mtoto
✅ Namna ya Kuripoti Ukatili
✅ Wito kwa Viongozi wa Dini, Jamii na Familia
✅ Ushuhuda wa Watoto na Wazazi
✅ Huduma zinazopatikana kupitia Dawati la Jinsia
👉 Tazama, Subscribe, Share, na uwe sehemu ya mabadiliko chanya katika jamii yako!
#TuweMabalozi #DawatiLaJinsia #LindaMtoto #StopUkatili #MSLAC #WatotoKwanza #tanzania #hakikwawote #sisinitanzania #katibanasheria #ssh #nchiyangukwanza #matokeochanya #msaadawakisheria