Katika video hii, tunakuletea maoni ya wanazuoni na waratibu wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia wakizungumzia namna kampeni hii imeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa haki nchini Tanzania. Kwa sauti zao wenyewe, wanasema: "Huu ni mlango wa haki kwa Watanzania wote!"
π Tazama jinsi elimu ya kisheria inavyowafikia wananchi wa kawaida.
π Fahamu mchango wa Mama Samia katika kujenga jamii inayojua haki zake.
π Sikiliza mapendekezo ya wataalamu juu ya kuboresha zaidi huduma hii.
π Subscribe ili usikose taarifa nyingine muhimu kuhusu haki, maendeleo na usawa.
π Like na share ili ujumbe huu uwafikie Watanzania wote!
#MamaSamia #MsaadaWaKisheria #WanazuoniWazungumza #HakiKwaWote #SamiaLegalAidCampaign #MSLAC #TanzaniaYangu