Skip to main content

Ibara ya 12 ya Katiba inahakikisha kuwa kila mtu anastahili usawa mbele ya sheria. Usawa huu unajumuisha haki ya kupata msaada wa kisheria kwa watu wote bila kujali jinsia, dini, kabila, au hali ya kiuchumi. #MSLAC #Katibanasheria