Msaada wa kisheria Unaendelea kutolewa katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wananchi wanaendelea kufika kwenye viwanja vya Mwembetogwa katika kampeni ya Msaada wa kisheria wa Mama Samia Legal Aids Compaign
#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano #MsaadaWaKisheria #MamaSamia