Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Bw. Isaya Kandega, amefungua rasmi mafunzo ya utoaji wa huduma za msaada wa kisheria chini ya kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign.
Katika hotuba yake ya uzinduzi, Bw. Kandega amesisitiza umuhimu wa huduma hizi katika kuhakikisha upatikanaji wa haki kwa wananchi wote, hasa makundi yenye uhitaji maalum kama wanawake, watoto na watu wenye ulemavu.
Ameeleza kuwa kampeni hii ni sehemu ya jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha utawala wa sheria na haki kwa wote.
📍 Mkoa: Kagera
🗓️ Tazama video hii kwa maelezo kamili ya mafunzo haya na umuhimu wake kwa jamii.
🔔 Usisahau kusubscribe, kupenda video, na kuisambaza kwa wengine ili ujumbe huu ufike kwa watu wengi zaidi. #isayakandega #mamasamialegalaidcampaign #msaadawakisheria #kagera #utawalawasheria #hakikuwote #raisSamia #kampeniyakisheria