Huu ni wakati wako wa kujua haki zako na kuzilinda kwa usahihi wa sheria! ⚖️
Usikubali kunyanyaswa kwa sababu hujui sheria — Mama Samia amesimama na wewe!
👇 Tazama video, toa maoni yako, na usisahau ku-subscribe kwa taarifa zaidi za msaada wa kisheria!
#MamaSamia #MsaadaWaKisheria #HakiKwaWote #MSLAC #TanzaniaKwanza #SioNdotoTena