Skip to main content

KAGERA TUNAKUJA!!

Submitted by admin on 12 April 2025

Muda wa kufutwa machozi kwa wakazi wa mkoa wa Kagera ni sasa  kupitia kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama samia,uonapo tangazo hili mjuze na mwenzio ilituweze kujumika na kuelimika kwa pamoja kuhusu maswala ya ndoa,mirathi,ardhi,ukatili wa kijinsia na mwisho wa yote kupata usuluhishi na msaada wa kisheria kutoka kwa watalamu wetu wa sheria kutokea MSLAC na msaada huo ni bure kabisa hauitaji malipo.

  MSLAC #Katibanasheria #Ikulumawasiliano #SSH