Skip to main content

Kampeni hii imeonekana kuwa mkombozi wa haki za wananchi wengi, hususan wale wasioweza kumudu gharama za mawakili, kwa kuwapatia msaada wa kisheria unaohitajika katika kutatua changamoto mbalimbali za kisheria