Skip to main content

KAMPENI HII KUBADILISHA FIKRA ZA WATANZANIA WALIO WENGI

Submitted by admin on 14 April 2025

Amon Mpanju Naibu Katibu Mkuu  wa Wizara ya Katiba na Sheria Tanzania. Kupitia kampeni hii, serikali inalenga kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wote kwa njia ya elimu sahihi na huduma rafiki, zinazoeleweka na kufikika kirahisi kwa wananchi wa kawaida.

🎯 Lengo: Haki kwa wote – si kwa wachache pekee!

📍 Mkoa: Kagera

💡 Kampeni: Mama Samia Legal Aid Campaign

Tazama video hii ujue jinsi kampeni hii inavyowabadilisha watu na jamii kwa ujumla.

🔔 Subscribe, like, na share kufikisha ujumbe huu kwa kila Mtanzania.

#esthermsambazi #kampeniyamamasamia #msaadawakisheria #hakikuwote #kagera #wanawake #watoto #ulemavu #elimuyasheria