Skip to main content

Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia imezinduliwa rasmi leo, Februari 18, 2025, katika Uwanja wa Furahisha, jijini Mwanza

Submitted by admin on 18 February 2025

Image

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, aliongoza uzinduzi huo kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria. Katika hotuba yake, Mtanda aliwahimiza wakazi wa Mwanza kujitokeza kwa wingi ili kupata msaada wa kisheria unaotolewa kupitia kampeni hii.

Image

@airtanzania_atcl @arusha_nationalpark  #sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #updates #news #habari #habarimpya