Skip to main content

Kampeni ya Msaada wa Kisheria inayoendeshwa na Mama Samia Suluhu Hassan imekuwa chachu kubwa katika kutatua migogoro ya ardhi nchini Tanzania.

Submitted by admin on 14 August 2024
Kupitia kampeni hii, wananchi wanapatiwa msaada wa kisheria bure unaolenga kuwasaidia kutatua migogoro ya ardhi kwa njia ya haki na kikatiba. Hii inafanyika kwa kutoa elimu ya kisheria, kusaidia wananchi kuelewa haki zao za kikatiba, na kuwasaidia kufuata taratibu sahihi za kisheria ili kuepuka migogoro.