Skip to main content

Kampeni ya Msaada wa Kisheria inayotekelezwa kupitia Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imewasili mkoani Songwe

Submitted by admin on 12 December 2024

ikilenga kuwahamasisha wananchi kujua haki zao za kisheria, kupunguza migogoro ya kijamii, na kuimarisha utawala wa sheria. Kampeni hii, inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Tanganyika Law Society (TLS) na Serikali, inalenga kutoa msaada wa kisheria kwa makundi yote, hususan wanawake, watoto, na watu wanaoishi katika mazingira magumu. 

#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango