Kampeni hii inalenga kuwafikia makundi yote ya jamii, hasa wale walioko pembezoni ambao mara nyingi hukosa fursa ya kutetea haki zao kwa sababu ya changamoto za kiuchumi na ukosefu wa uelewa wa kisheria.
Kampeni hii ni sehemu ya mpango wa kitaifa wa kuimarisha upatikanaji wa haki kwa kila Mtanzania kupitia elimu ya sheria, msaada wa kisheria wa bure, na ushauri wa kitaalamu kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu haki za binadamu, ardhi, ajira, ndoa, na mirathi. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango
@katibanasheria_ @profkabudipjam @victoria_mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi