Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) inawapenda na kuwathamini Watanzania wote! Tunayo furaha kuwakaribisha katika mwaka mpya wa 2025 huku tukiwa na matumaini makubwa ya maendeleo, mshikamano, na haki kwa kila mmoja.
Kwa moyo wa uzalendo na dhamira ya dhati ya kuimarisha maisha ya kila Mtanzania, tunawatakia HERI YA MWAKA MPYA 2025! Pamoja, tunajenga Tanzania yenye haki, usawa, na amani na maendeleo.
#MSLAC #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @IkuluMawasiliano