Skip to main content

Katiba ya Tanzania inatambua umuhimu wa msaada wa kisheria kama sehemu ya kuhakikisha haki inapatikana kwa wote, hususan kwa wale wasio na uwezo wa kugharamia huduma za kisheria