Skip to main content

Katika kilele cha Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, elimu ya msaada wa kisheria imetolewa kwa wananchi wa kata ya Kisawasawa, vijiji vya Kisawasawa, Ichonde, na Kanoro ndani ya Halmashauri ya Mji Ifakara