Skip to main content

KAZI INAENDELEA #MSLAC

Submitted by admin on 20 March 2024

Mpango huu umepelekea kuanzisha kliniki za kisheria katika maeneo ambayo watu wanahitaji msaada zaidi. Kliniki hizi zinahudumiwa na wanasheria na wataalamu wengine wa kisheria ambao wanatoa ushauri na msaada wa kisheria kwa watu wanaohitaji. 

Image

Kusaidia katika Kesi za Mahakama MSLAC inasaidia watu katika kesi zao za mahakamani, hasa kwa wale ambao hawawezi kumudu gharama za mawakili au wanaohitaji msaada zaidi katika utetezi wao.

#MSLAC #Katibanasheria