Skip to main content

Kila Mtanzania ana haki ya kupata msaada wa kisheria. Haki hii inalindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, pamoja na sheria na sera zingine zinazohusiana na haki za binadamu na haki za kisheria.