Skip to main content

"Kila raia ana wajibu wa kulinda na kudai haki."

Submitted by admin on 25 August 2025

Haki ni nguzo ya amani na maendeleo ya jamii. Ni wajibu wa kila mmoja kuhakikisha anazilinda, kuziheshimu na pia kuzidai pale zinapokiukwa. Bila haki hakuna usawa, na bila usawa hakuna maendeleo ya kweli.

👉 Tushirikiane kujenga taifa lenye heshima kwa haki na wajibu wa kila raia.

#MamaSamiaLegalAid #MsaadaWaKisheria #HakiZaBinadamu #UtawalaBora #SisiniTanzania #nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #katibanasheria #matokeochanya #SioNdotoTena #chan2024