Kuelekea uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ijulikanayo kama Mama Samia Legal Aid Campaign hapo kesho mkoani Singida, leo hii wasajili na wadau wa msaada wa kisheria mkoa wa Singida wamekutana na kujadili utekelezaji wa kampeni hiyo.
@samia_suluhu_hassan @katibayawatu @katibanasheria_ @pindi.chana @matokeochanya