Skip to main content

Kujua haki yako ni hatua moja muhimu ya kuilinda, kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katiba inaeleza na kutoa ulinzi wa haki za msingi za kila mwananchi.