Huduma za msaada wa kisheria zinapaswa kupatikana kwa kila mtu ambaye anahitaji na hawezi kumudu gharama za mawakili au ushauri wa kisheria. Hii ni pamoja na watu wa kipato cha chini, watu wasio na makazi, watoto, waathirika wa unyanyasaji au dhuluma, #MSLAC #CCM #SSH
#MSLAC inasisitiza umuhimu wa kulinda haki za binadamu, bila kujali hali zao za kijamii, kiuchumi, au kitambulisho chao. Hii Inajumuisha kulinda haki za msingi kama vile haki ya kuishi, uhuru wa kujieleza, haki ya kupata elimu na afya, na haki ya usawa mbele ya sheria.