Skip to main content

Kupiga kura ni haki ya msingi kwa kila raia katika jamii inayofuata misingi ya demokrasia

Submitted by admin on 26 October 2024

Kwa Tanzania, haki hii inatoa nafasi kwa wananchi kuchagua viongozi wao na kujihusisha katika maamuzi yanayoathiri maisha yao.A