Maafisa maendeleo dawati la msaada wa kisheria Wakitoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi wa mtaa wa barabara ya moto kata ya mdoe ,elimu imepokelewa kwa shangwe na wameahidi kutoa ushirikiano na kuwa mabalozi kwa wengine juu ya uwepo wa dawati la msaada wa kisheria
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_philip_isdor_mpango@biteko
@katibanasheria_ @profkabudipjam @Victoria
.mwanziva @tanganyikalawsociety @boniface_a_k_mwabukusi