Skip to main content

Kutoka Mkoa wa Dodoma wilaya ya Chemba kata ya Paranga kijiji cha Kelema Balai, maafisa dawati tulipata nafasi ya kutoa elimu katika shule ya sekondari kelema balai juu ya Ukatili wa kijinsia na huduma za msaada wa kisheria