Ni kauli ya shukrani na kutambua jitihada za Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama mkoani Kagera baada ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayoigusa jamii moja kwa moja.
Wananchi wa Kagera wameonyesha kuthamini kwa vitendo huduma bora zinazowafikia, zikiwemo afya, elimu, miundombinu na msaada wa kisheria kupitia kampeni za kitaifa kama Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC)
🟩 Hii ni ishara ya uongozi wa CCM kusimamia maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa vitendo.
💬 Tazama video hii ujionee ushuhuda wa wananchi.
📌 Subscribe, Like na Share kwa ajili ya kueneza ujumbe huu wa matumaini na maendeleo.
#CCMKagera #KwaHiliMmeugusaMioyoYetU #MamaSamia #HakiKwaWote #MatokeoChanyA+ #MSLAC2025