Skip to main content

LENGO KUU LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

Submitted by admin on 13 March 2024

Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (#MSLAC) inalenga kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi, hasa katika masuala kama ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa njia mbadala, na haki za binadamu kwa ujumla. #MSLAC #Katibayawatu