Kampeni hii inalenga kuwafikia wananchi wote hasa wanyonge, kwa kuwapatia elimu ya kisheria na msaada wa moja kwa moja kwenye migogoro yao.
π Fuatilia tukio hili moja kwa moja na shuhudia namna serikali inavyoweka mbele haki za kila Mtanzania kupitia sheria!
#MSLAC #MsaadaWaKisheria #MamaSamia #WizaraYaKatibaNaSheria #HakiKwaWote #zanzibar