ELIMU ILIYOWEZA KUTOLEWA ILIKUWA NI:
Elimu ya ukatili wa kijinsia
Elimu Ya umuhimu wa Elimu
Elimu ya Athari za Mimba katika umri mdogo
Elimu ya Umuhimu wa kujitambua na kujiamini
Elimu ya Haki za binaadamu
Elimu ya Haki za mtoto
Elimu kuhusu umuhimu wa utawala bora
Elimu ya sheria ya Ndoa kwa walimu
Walengwa waliopata elimu hizi walishukuru sana na kuahidi kuwa mabalozi wazuri kwa wengine katika kuhakikisha hakuna haki ya mtu inapotea.
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #matokeochanya #sisinitanzania #SSH