Maafisa hao walienda shuleni hapo ili kuwapa elimu kuhusu dawati la msaada wa kisheria na kuwafundisha watoto wa shule ya msingi Mang’onyi kuhusu sheria ya mtoto na haki zao pia walipata muda wa kuwasikiliza changamoto zao wanazo pitia.
#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya