Skip to main content

Maafisa maendeleo dawati la msaada wa kisheria Halmashaur ya wilaya ya handeni tulitembelea shule ya msingi Mkata na tuliwafundisha wanafunzi kuhusu elimu ya ukatili wa kijinsia na elimu ya msaada wa kisheria