Skip to main content

Maafisa Maendeleo ya Jamii Dawati la Msaada wa Kisheria Halmashauri ya wilaya ya Mbulu wamefika katika Ofisi ya Kata ya Dinamu kwaajili ya kutoa Elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi

Submitted by admin on 21 March 2025

 

Image

Mbali na utoaji Elimu ya Msaada wa Kisheria pia migogoro mbalimbali ilisikilizwa kutoka kwa wananchi wa jamii ya vijiji vya Muslur na Mamagi ambapo baadhi ya migogoro ilitatuliwa na mingine inahitaji ufuatiliaji zaidi.

Image

@samia_suluhu_hassan @kassim_m_majaliwa

@hakingowinews @katibanasheria_ #sisinitanzania #maendeleo #tanzaniampya #sisinitanzaniampya #tanzaniayetu #tanzanianamaendeleo #tanzania #samiasuluhu #ssh #sisinitanzaniamakini #sisinitanzania #tanzaniabora #millardayo #updates #news #habari #habarimpya