Skip to main content

Maafisa Maendeleo ya Jamii- Dawati la msaada wa kisheria wamefanikiwa kutoa elimu ya sheria kwa wanafunzi zaidi ya 400 wa shule ya msingi Lamulilo

Submitted by admin on 7 February 2025

Image

Magomeni- Kilosa DC

Elimu iliyotolewa ni kuhusu sheria ya mtoto na ukatili wa kijinsia.

Wanafunzi wameonekana kufurahia elimu hio na itasaidia kupunguza matukio mengi ya ukatili ambayo yamekuwa yakitokea ndani na nje ya shule.

Image