Tumekutana na maafisa usafirishaji (bodaboda) kituo cha Vijibweni, kata ya Vijibweni, wilaya ya Kigamboni, tumetumia muda huo kuitambulisha Kampeni ya MSLAC na kuwapa elimu juu ya sheria ya ndoa, masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi na mengineyo.
#Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya