Skip to main content

Maafisa wa dawati la msaada wa kisheria halmashauri zote za mkoa wa shinyanga wameshiriki Kongamano la wanawake lenye kauli mbiu WANAWAKE NA WASICHANA 2025; TUIMARISHE HAKI, USAWA NA UWEZESHAJI

Submitted by admin on 13 March 2025

Image

Ambalo kimkoa linafanyika halmashauri ya wilaya ya msalala, kata ya bugarama katika ukumbi wa Carebean.

ImageMada mbalimbali zilizo tolewa ni kama ifuatavyo; 1. Elimu  ya msaada wa kisheria. 2. Malezi na makuzi. 3. Mwanamke na uongozi. 4. Afya ya akili. 5. Uwezashaji kiuchumi. MSLAC walipata fursa ya kutoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wanawake walioshiriki kongamano hili.

Image

#MSLAC #KatibanaSheria #SSH #CCM #KaziIendelee #NchiyanguKwanza #SisiniTanzania #MatokeoChanya