Skip to main content

Maafisa wa Dawati la Msaada wa Kisheria na Dawati la Polisi kutoka Halmashauri ya Mji wa Ifakara wametembelea Shule ya Sekondari ya Lumemo, iliyopo Kata ya Michenga, Kijiji cha Kining’ina, na kutoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wanafunzi

Submitted by admin on 8 February 2025

Image

Elimu iliyotolewa ilihusu:

📍Maana na umuhimu wa Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria (MSLAC) 📍Masuala yanayoshughulikiwa na kampeni hiyo

📍Ukatili wa kijinsia na jinsi ya kuzuia

📍Athari za mimba za utotoni

📍Madhara ya matumizi mabaya ya teknolojia na mitandao

📍Haki za binadamu na mtoto

Wanafunzi walishukuru kwa elimu hiyo na kuahidi kuwa mabalozi wa kuhamasisha jamii kulinda haki na kupinga ukatili wa aina zote. Pia, walitoa pongezi kwa DRSSH kwa kuwafikishia huduma hii muhimu shuleni kwao.

Image

Image

#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya @samia_suluhu_hassan @ikulu_mawasiliano @dr_mpango