Tazama jinsi maandalizi na mapokezi ya uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia yalivyofanyika mkoani Kagera kwa hamasa na mshikamano mkubwa.
Kampeni hii inalenga kuhakikisha wananchi wote, hususan makundi yenye uhitaji maalum kama wanawake, watoto na watu wenye ulemavu, wanapata haki kupitia elimu na msaada wa kisheria unaoeleweka na kufikika kwa urahisi.
📍 Mahali: Bukoba – Uwanja wa Mayunga
🗓️ Uzinduzi rasmi: Angalia video kwa undani wa tukio hili la kihistoria
🔔 Usisahau kusubscribe, kupenda video, na kushiriki kwa wengine – Haki ni yetu sote!
#kampeniyakisheria #kagera #mamasamialegalaid #msaadawakisheria #hakikuwote #bukoba #mapokeziyakampeni #utawalawasheria